Brunei imekuwa ikitazamwa na ulimwengu juu ya uamuzi wake wa kutekeleza adhabu kali ya dini ya kiislamu pale ambapo mtu atakuta na kosa la uzinzi au uasherati ingawa ndani ya nchi hiyo kila kitu ...
Maimamu wa Kiislamu na viongozi wa dini ya kiyahudi kutoka barani Ulaya wanahudhuria mkutano wa kilele nchini Italia ulioandaliwa na baraza la waislamu na wayahudi kujadili masuala yanayowaathiri.
Waandamana kupinga Umoja wa Mataifa kuingilia masuala ya ndani ya Sudan pamoja na makubaliano yaliyofikiwa kati ya viongozi wa kijeshi na muungano wa kiraia kuondowa mkwamo wa kisiasa Nchini Sudan ...